IQNA – Mtu anapaswa kuepuka kuchochea tofauti, badala yake ajikite katika kuhimiza mazungumzo miongoni mwa vijana Waislamu kwa misingi ya mafunzo ya Qur'ani na Ahl-ul-Bayt (AS), amesema mwanazuoni wa Kiiraqi.
Habari ID: 3480382 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/16
IQNA – Maandalizi yanaendelea katika mji mtakatifu wa Karbala, Iraq, ili kuandaa "Wiki ya Kimataifa ya Uimamu" mnamo Juni.
Habari ID: 3480277 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/28
Ahlul Bayt (AS)
IQNA – Toleo la pili la maonyesho ya maeneo matakatifu ya Shia yatafanyika katika vituo vya Kiislamu na kitamaduni barani Ulaya.
Habari ID: 3479938 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/22
IQNA - Mamilioni ya Waislamu duniani kote wameadhimisha siku ya Ashura, siku ya kumbukumbu ya kuuawa shahidi Imam Hussein (AS), Imam wa tatu wa Kishia na mjukuu wa Mtume Mohammad (SAW).
Habari ID: 3479134 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/16
Qur’ani Tukufu Siku za Muharram
Jumla ya maonyesho 100 ya Qur'ani yataandaliwa katika mikusanyiko inayoongoza ya waombolezaji wakati wa mwezi wa maombolezo wa Muharram mwaka huu, afisa mmoja alisema.
Habari ID: 3479090 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/08
Tukio la Mubahila
Katika Tukio la Mubahila, Mtume (SAW) alitumia vyema kile kinachojulikana leo kama nguvu laini.
Habari ID: 3479050 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/02
IQNA - Katibu Mkuu wa Majlisi ya Ulimwengu ya Ahl-ul-Bayt (AS) amesema si Waislamu pekee bali hata wasio Waislamu wanaweza kufaidika na mafundisho ya Tukio la Ghadir.
Habari ID: 3479011 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/24
Nidhamu Katika Qur'ani / 15
IQNA – Qur’ani Tukufu inajitambulisha yenyewe na Mtukufu Mtume Muhammad (SAW) kama nguzo ya nidhamu na umoja katika jamii ya Kiislamu.
Habari ID: 3478845 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/18
TEHRAN (IQNA) – Imam Sadiq (AS) aligawanya sayansi za Kiislamu katika nyanja mbalimbali kama vile Fiqhi (sheria), teolojia, Hadith, tafsiri ya Qu’rani Tukufu, n.k, na kuanzisha mkondo wa maendeleo ya elimu.
Habari ID: 3477719 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/12
Hojat-Al-Islam Morteza Torabi ni mfasiri wa Qur’ani Tukufu kwa lugha ya Kituruki na amejaribu kutumia wafafanuzi wa Kishia wa Quran Tukufu katika kazi yake.
Habari ID: 3477194 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/26
Waislamu wa Madhehebu ya Shia
TEHRAN (IQNA) – Mkutano wa Saba wa Baraza Kuu la Jumuiya ya Kimataifa ya Ahl-ul-Bayt AS ulimalizika hapa katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran siku ya Jumamosi.
Habari ID: 3475731 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/04
Habari ID: 3470185 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/08